Zaburi 94:18
Zaburi 94:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Nilipohisi kwamba ninateleza, fadhili zako, ee Mwenyezi-Mungu, zilinitegemeza.
Shirikisha
Soma Zaburi 94Zaburi 94:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Niliposema, Mguu wangu unateleza; Ee BWANA, fadhili zako zilinitegemeza.
Shirikisha
Soma Zaburi 94Zaburi 94:18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Niliposema, Mguu wangu unateleza; Ee BWANA, fadhili zako zilinitegemeza.
Shirikisha
Soma Zaburi 94