Ufunuo 1:18
Ufunuo 1:18 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Mimi ni Yeye Aliye Hai, niliyekuwa nimekufa, na tazama, ni hai milele na milele! Nami ninazo funguo za mauti na kuzimu.
Shirikisha
Soma Ufunuo 1Ufunuo 1:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi ni yeye aliye hai! Nilikuwa nimekufa, lakini, tazama, sasa ni hai milele na milele. Ninazo funguo za kifo na kuzimu.
Shirikisha
Soma Ufunuo 1