Ufunuo 1:3
Ufunuo 1:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Heri yake mtu anayesoma kitabu hiki chenye maneno ya ujumbe wa kinabii; na heri yao wanaosikia na kushika yaliyoandikwa humu, maana wakati wa mambo haya umekaribia.
Shirikisha
Soma Ufunuo 1Ufunuo 1:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Heri asomaye na wao wayasikiao maneno ya unabii huu, na kuyashika yaliyoandikwa humo; kwa maana wakati uko karibu.
Shirikisha
Soma Ufunuo 1