Ufunuo 10:7
Ufunuo 10:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
isipokuwa katika siku za sauti ya malaika wa saba atakapokuwa tayari kupiga baragumu; hapo ndipo siri ya Mungu itakapotimizwa, kama alivyowatangazia watumishi wake hao manabii.
Shirikisha
Soma Ufunuo 10Ufunuo 10:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini wakati yule malaika wa saba atakapotoa sauti ya tarumbeta yake, Mungu atakamilisha mpango wake wa siri kama alivyowatangazia watumishi wake manabii.”
Shirikisha
Soma Ufunuo 10