Ufunuo 12:11
Ufunuo 12:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana-kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao; ambao hawakupenda maisha yao hata kufa.
Shirikisha
Soma Ufunuo 12Ufunuo 12:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndugu zetu wamemshinda kwa damu ya Mwanakondoo na kwa neno waliloshuhudia; maana hawakuyathamini maisha yao kuwa kitu sana, wakawa tayari kufa.
Shirikisha
Soma Ufunuo 12