Ufunuo 13:5
Ufunuo 13:5 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Huyo mnyama akapewa kusema maneno ya kiburi na kukufuru na kutumia mamlaka yake kwa muda wa miezi arobaini na miwili.
Shirikisha
Soma Ufunuo 13Ufunuo 13:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha huyo mnyama akaruhusiwa kusema maneno ya kujigamba na kumkufuru Mungu; akaruhusiwa kuwa na mamlaka kwa muda wa miezi arubaini na miwili.
Shirikisha
Soma Ufunuo 13