Ufunuo 13:7
Ufunuo 13:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Aliruhusiwa kuwapiga vita na kuwashinda watu wa Mungu. Alipewa mamlaka juu ya watu wa kila kabila, ukoo, lugha na taifa.
Shirikisha
Soma Ufunuo 13Ufunuo 13:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena akapewa kufanya vita na watakatifu na kuwashinda, akapewa uwezo juu ya kila kabila na jamaa na lugha na taifa.
Shirikisha
Soma Ufunuo 13