Ufunuo 13:8
Ufunuo 13:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na watu wote wakaao juu ya nchi watamsujudu, kila ambaye jina lake halikuandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana-kondoo, aliyechinjwa tangu kuwekwa misingi ya dunia.
Shirikisha
Soma Ufunuo 13Ufunuo 13:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Wote waishio duniani watamwabudu isipokuwa tu wale ambao majina yao yameandikwa tangu mwanzo wa ulimwengu katika kitabu cha uhai cha Mwanakondoo aliyechinjwa.
Shirikisha
Soma Ufunuo 13