Ufunuo 14:12
Ufunuo 14:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Hivyo, ni lazima watu wa Mungu, yaani wale wanaotii amri za Mungu na kumwamini Yesu, wawe na uvumilivu.
Shirikisha
Soma Ufunuo 14Ufunuo 14:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hapa ndipo penye subira ya watakatifu, hao wazishikao amri za Mungu, na imani ya Yesu.
Shirikisha
Soma Ufunuo 14