Ufunuo 14:13
Ufunuo 14:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha, nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, “Andika! Heri watu ambao tangu sasa wanakufa wakiwa wameungana na Bwana.” Naye Roho asema, “Naam! Watapumzika kutoka taabu zao; maana matunda ya jasho lao yatawafuata.”
Shirikisha
Soma Ufunuo 14Ufunuo 14:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.
Shirikisha
Soma Ufunuo 14