Ufunuo 14:6
Ufunuo 14:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha nikaona malaika mwingine, akiruka katikati ya mbingu, akiwa na Injili ya milele, awahubirie hao wakaao juu ya nchi, na kila taifa na kabila na lugha na jamaa
Shirikisha
Soma Ufunuo 14Ufunuo 14:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha, nikamwona malaika mwingine anaruka juu angani akiwa na Habari Njema ya milele ya Mungu, aitangaze kwa watu waishio duniani, kwa mataifa yote, makabila yote na watu wa lugha zote na rangi zote.
Shirikisha
Soma Ufunuo 14