Ufunuo 14:7
Ufunuo 14:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Naye akasema kwa sauti kubwa, “Mcheni Mungu na kumtukuza! Maana saa imefika ya kutoa hukumu yake. Mwabuduni yeye aliyeumba mbingu na dunia, bahari na chemchemi za maji.”
Shirikisha
Soma Ufunuo 14Ufunuo 14:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
akasema kwa sauti kuu, Mcheni Mungu, na kumtukuza, kwa maana saa ya hukumu yake imekuja. Msujudieni yeye aliyezifanya mbingu na nchi na bahari na chemchemi za maji.
Shirikisha
Soma Ufunuo 14