Ufunuo 14:8
Ufunuo 14:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha mwingine, malaika wa pili, akafuata, akisema, Umeanguka, umeanguka Babeli, mji ule ulio mkubwa, maana ndio uliowanywesha mataifa yote mvinyo ya ghadhabu ya uasherati wake.
Shirikisha
Soma Ufunuo 14Ufunuo 14:8 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Malaika wa pili akafuata akisema, “Umeanguka! Umeanguka Babeli Mkuu, ule uliyafanya mataifa yote kulewa kwa mvinyo wa ghadhabu ya uasherati wake.”
Shirikisha
Soma Ufunuo 14