Ufunuo 15:1
Ufunuo 15:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha nikaona ishara nyingine mbinguni, kubwa na ya kushangaza. Palikuwa hapo malaika saba wenye mabaa saba ya mwisho. Kwa mabaa hayo saba, ghadhabu ya Mungu imekamilishwa.
Shirikisha
Soma Ufunuo 15Ufunuo 15:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha nikaona ishara nyingine katika mbingu, iliyo kubwa, na ya ajabu; malaika saba wenye mapigo saba ya mwisho; maana katika hayo ghadhabu ya Mungu imetimia.
Shirikisha
Soma Ufunuo 15