Ufunuo 15:4
Ufunuo 15:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Bwana, ni nani asiyekucha wewe? Nani asiyelitukuza jina lako? Wewe peke yako ni Mtakatifu. Mataifa yote yatakujia na kukuabudu maana matendo yako ya haki yamedhihirishwa.”
Shirikisha
Soma Ufunuo 15Ufunuo 15:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ni nani asiyekucha, Ee Bwana, na kulitukuza jina lako? Kwa kuwa wewe peke yako u Mtakatifu; kwa maana mataifa yote watakuja na kusujudu mbele zako; kwa kuwa matendo yako ya haki yamekwisha kufunuliwa.
Shirikisha
Soma Ufunuo 15