Ufunuo 16:12
Ufunuo 16:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na huyo wa sita akalimimina bakuli lake juu ya mto ule mkubwa Frati; maji yake yakakauka, ili njia itengenezwe kwa wafalme watokao katika maawio ya jua.
Shirikisha
Soma Ufunuo 16Ufunuo 16:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na huyo wa sita akakimimina kitasa chake juu ya mto ule mkubwa Frati; maji yake yakakauka, ili njia itengenezwe kwa wafalme watokao katika maawio ya jua.
Shirikisha
Soma Ufunuo 16