Ufunuo 16:15
Ufunuo 16:15 Biblia Habari Njema (BHN)
“Sikiliza! Mimi naja kama mwizi! Heri mtu akeshaye na kuvaa nguo zake ili asije akaenda uchi huko na huko na kuaibika hadharani.”
Shirikisha
Soma Ufunuo 16Ufunuo 16:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
(Tazama, naja kama mwizi. Heri akeshaye, na kuyatunza mavazi yake, asiende uchi hata watu wakaione aibu yake.)
Shirikisha
Soma Ufunuo 16