Ufunuo 16:2
Ufunuo 16:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akaenda huyo wa kwanza, akalimimina bakuli lake juu ya nchi; pakawa na jipu baya, bovu, juu ya wale watu wenye chapa ya huyo mnyama, na wale wenye kuisujudia sanamu yake.
Shirikisha
Soma Ufunuo 16Ufunuo 16:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Akaenda huyo wa kwanza, akakimimina kitasa chake juu ya nchi; pakawa na jipu baya, bovu, juu ya wale watu wenye chapa ya huyo mnyama, na wale wenye kuisujudia sanamu yake.
Shirikisha
Soma Ufunuo 16