Ufunuo 16:9
Ufunuo 16:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, watu wakaunguzwa vibaya sana; wakamtukana Mungu aliye na uwezo juu ya mabaa hayo. Lakini hawakutubu na kumtukuza Mungu.
Shirikisha
Soma Ufunuo 16Ufunuo 16:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wanadamu wakaunguzwa na joto kali, nao wakalitukana jina la Mungu aliye na mamlaka juu ya mapigo hayo; wala hawakutubu wala kumpa utukufu.
Shirikisha
Soma Ufunuo 16