Ufunuo 17:5
Ufunuo 17:5 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kwenye kipaji chake cha uso palikuwa pameandikwa jina: “Siri, Babeli Mkuu, Mama wa makahaba na wa machukizo ya dunia.”
Shirikisha
Soma Ufunuo 17Ufunuo 17:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Alikuwa ameandikwa juu ya paji la uso wake jina la fumbo “Babuloni mkuu, mama wa wazinzi na wa mambo yote ya kuchukiza sana duniani.”
Shirikisha
Soma Ufunuo 17