Ufunuo 18:4
Ufunuo 18:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni ikisema, “Watu wangu, ondokeni kwake, ili msishirikiane naye katika dhambi zake, msije mkaipata adhabu yake.
Shirikisha
Soma Ufunuo 18Ufunuo 18:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake.
Shirikisha
Soma Ufunuo 18