Ufunuo 2:10
Ufunuo 2:10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Usiogope mambo yatakayokupata; tazama, huyo Ibilisi atawatupa baadhi yenu gerezani ili mjaribiwe, nanyi mtakuwa na dhiki siku kumi. Uwe mwaminifu hata kufa, nami nitakupa taji ya uzima.
Shirikisha
Soma Ufunuo 2Ufunuo 2:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Usiogope hata kidogo yale ambayo itakulazimu kuteseka. Sikiliza! Ibilisi anataka kuwajaribu kwa kuwatia baadhi yenu gerezani; nanyi mtapata dhiki kwa muda wa siku kumi. Muwe waaminifu hata mpaka kufa, nami nitawapeni taji ya uhai.
Shirikisha
Soma Ufunuo 2