Ufunuo 21:1
Ufunuo 21:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha, nikaona mbingu mpya na dunia mpya. Mbingu ile ya kwanza na dunia ile ya kwanza vilikuwa vimetoweka, nayo bahari pia haikuwako tena.
Shirikisha
Soma Ufunuo 21Ufunuo 21:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha nikaona mbingu mpya na nchi mpya; kwa maana mbingu za kwanza na nchi ya kwanza zimekwisha kupita, wala hakuna bahari tena.
Shirikisha
Soma Ufunuo 21