Ufunuo 21:2
Ufunuo 21:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Nikaona mji mtakatifu, Yerusalemu mpya, ukishuka kutoka kwa Mungu mbinguni. Ulikuwa umetayarishwa vizuri kama bibi arusi aliyepambwa tayari kukutana na mumewe.
Shirikisha
Soma Ufunuo 21Ufunuo 21:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nikauona mji ule mtakatifu, Yerusalemu mpya, ukishuka kutoka mbinguni kwa Mungu, umewekwa tayari, kama bibi arusi aliyekwisha kupambwa kwa mumewe.
Shirikisha
Soma Ufunuo 21