Ufunuo 21:23-24
Ufunuo 21:23-24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na mji ule hauhitaji jua wala mwezi kuuangaza, kwa maana utukufu wa Mungu huutia nuru, na taa yake ni Mwana-kondoo. Na mataifa watatembea katika nuru yake. Na wafalme wa nchi huleta utukufu wao ndani yake.
Shirikisha
Soma Ufunuo 21Ufunuo 21:23-24 Biblia Habari Njema (BHN)
Mji huo hauhitaji jua wala mwezi kuuangazia, maana utukufu wa Mungu huuangazia, na taa yake ni yule Mwanakondoo. Watu wa mataifa watatembea katika mwanga wake na wafalme wa dunia watauletea utajiri wao.
Shirikisha
Soma Ufunuo 21