Ufunuo 21:3
Ufunuo 21:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nikasikia sauti kubwa kutoka katika kile kiti cha enzi ikisema, Tazama, maskani ya Mungu ni pamoja na wanadamu, naye atafanya maskani yake pamoja nao, nao watakuwa watu wake. Naye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao.
Shirikisha
Soma Ufunuo 21Ufunuo 21:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha nikasikia sauti kubwa kutoka katika kiti cha enzi ikisema, “Tazama! Maskani ya Mungu kati ya watu. Atakaa kati yao, nao watakuwa watu wake, naye atakuwa Mungu wao.
Shirikisha
Soma Ufunuo 21Ufunuo 21:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Ufunuo 21