Ufunuo 21:4
Ufunuo 21:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye atafuta kila chozi katika macho yao, wala mauti haitakuwapo tena; wala maombolezo, wala kilio, wala maumivu hayatakuwapo tena; kwa kuwa mambo ya kwanza yamekwisha kupita.
Shirikisha
Soma Ufunuo 21Ufunuo 21:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Yeye atayafuta machozi yao yote; maana kifo hakitakuwako tena, wala uchungu, wala kilio, wala maumivu; maana ile hali ya kale imepita!”
Shirikisha
Soma Ufunuo 21Ufunuo 21:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Naye atafuta kila chozi katika macho yao, wala mauti haitakuwapo tena; wala maombolezo, wala kilio, wala maumivu hayatakuwapo tena; kwa kuwa mambo ya kwanza yamekwisha kupita.
Shirikisha
Soma Ufunuo 21