Ufunuo 21:5
Ufunuo 21:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha yule aliyeketi juu ya kiti cha enzi akasema, “Tazama, nafanya yote mapya.” Tena akaniambia, “Andika jambo hili, maana maneno haya ni ya kuaminika na ya kweli!”
Shirikisha
Soma Ufunuo 21Ufunuo 21:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na yeye aketiye juu ya kile kiti cha enzi akasema, Tazama, nayafanya yote kuwa mapya. Akaniambia, Andika ya kwamba maneno hayo ni amini na kweli.
Shirikisha
Soma Ufunuo 21