Ufunuo 21:6
Ufunuo 21:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha akaniambia, “Yametimia! Mimi ni Alfa na Omega, Mwanzo na Mwisho. Aliye na kiu nitampa kinywaji cha bure kutoka katika chemchemi ya maji ya uhai.
Shirikisha
Soma Ufunuo 21Ufunuo 21:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akaniambia, Imekwisha kuwa. Mimi ni Alfa na Omega, Mwanzo na Mwisho. Mimi nitampa yeye aliye na kiu, maji kutoka chemchemi ya maji ya uzima, bure.
Shirikisha
Soma Ufunuo 21