Ufunuo 21:8
Ufunuo 21:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini watu waoga, wasioamini, wapotovu, wauaji, wazinzi, wachawi, waabudu sanamu, na waongo wote, mahali pao patakuwa ndani ya lile ziwa linalowaka moto na madini ya kiberiti; hicho ndicho kifo cha pili.”
Shirikisha
Soma Ufunuo 21Ufunuo 21:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
Shirikisha
Soma Ufunuo 21