Ufunuo 22:17
Ufunuo 22:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Roho na Bibi arusi waseme, “Njoo!” Kila mtu asikiaye hili, na aseme, “Njoo!” Aliye na kiu na aje; anayependa, na achukue maji ya uhai bila malipo.
Shirikisha
Soma Ufunuo 22Ufunuo 22:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Roho na Bibi arusi wasema, Njoo! Naye asikiaye na aseme, Njoo! Naye mwenye kiu na aje; na yeye atakaye, na ayatwae maji ya uzima bure.
Shirikisha
Soma Ufunuo 22