Ufunuo 22:20-21
Ufunuo 22:20-21 Biblia Habari Njema (BHN)
Naye anayetoa ushahidi wake juu ya mambo haya asema: “Kweli naja upesi.” Amina. Njoo Bwana Yesu! Nawatakieni nyote neema ya Bwana Yesu. Amina.
Shirikisha
Soma Ufunuo 22Ufunuo 22:20-21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yeye ayashuhudiaye haya asema, Naam; naja upesi. Amina; na uje, Bwana Yesu. Neema ya Bwana Yesu na iwe pamoja nanyi nyote. Amina.
Shirikisha
Soma Ufunuo 22