Ufunuo 22:5
Ufunuo 22:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Usiku hautakuwako tena, wala hawatahitaji mwanga wa taa au wa jua, maana Bwana Mungu atawaangazia, nao watatawala milele na milele.
Shirikisha
Soma Ufunuo 22Ufunuo 22:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wala hapatakuwa na usiku tena; wala hawana haja ya taa wala ya nuru ya jua; kwa kuwa Bwana Mungu huwatia nuru, nao watatawala hata milele na milele.
Shirikisha
Soma Ufunuo 22