Ufunuo 3:15-16
Ufunuo 3:15-16 Biblia Habari Njema (BHN)
Nayajua mambo yako yote! Najua kwamba wewe si baridi wala si moto. Afadhali ungekuwa kimojawapo: Baridi au moto. Basi, kwa kuwa hali yako ni vuguvugu, si baridi wala si moto, nitakutapika!
Shirikisha
Soma Ufunuo 3Ufunuo 3:15-16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nayajua matendo yako, ya kuwa hu baridi wala hu moto; ingekuwa heri kama ungekuwa baridi au moto. Basi, kwa sababu una uvuguvugu, wala hu baridi wala moto, nitakutapika utoke katika kinywa changu.
Shirikisha
Soma Ufunuo 3