Ufunuo 3:2
Ufunuo 3:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Amka! Imarisha chochote chema kilichokubakia kabla nacho hakijatoweka kabisa. Maana, mpaka sasa, sijayaona matendo yako kuwa ni makamilifu mbele ya Mungu wangu.
Shirikisha
Soma Ufunuo 3Ufunuo 3:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Uwe mwenye kukesha, ukayaimarishe mambo yaliyobakia, yanayotaka kufa. Maana sikuona matendo yako kuwa yametimilika mbele za Mungu wangu.
Shirikisha
Soma Ufunuo 3