Ufunuo 3:20
Ufunuo 3:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Sikiliza! Mimi nasimama mlangoni na kubisha hodi. Mtu akisikia sauti yangu na kufungua mlango, nitaingia nyumbani kwake na kula chakula pamoja naye, naye atakula pamoja nami.
Shirikisha
Soma Ufunuo 3Ufunuo 3:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tazama, nasimama mlangoni, nabisha; mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja naye, na yeye pamoja nami.
Shirikisha
Soma Ufunuo 3Ufunuo 3:20 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Tazama, nasimama mlangoni, nabisha; mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja naye, na yeye pamoja nami.
Shirikisha
Soma Ufunuo 3