Ufunuo 5:12
Ufunuo 5:12 Biblia Habari Njema (BHN)
wakasema kwa sauti kuu: “Mwanakondoo aliyechinjwa anastahili kupokea uwezo, utajiri, hekima, nguvu, utukufu na sifa.”
Shirikisha
Soma Ufunuo 5Ufunuo 5:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
wakisema kwa sauti kuu, Astahili Mwana-kondoo aliyechinjwa, kuupokea uweza na utajiri na hekima na nguvu na heshima na utukufu na baraka.
Shirikisha
Soma Ufunuo 5