Ufunuo 5:5
Ufunuo 5:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha mmoja wa wale wazee akaniambia, “Usilie! Tazama! Simba wa kabila la Yuda, chipukizi wa Daudi, ameshinda. Yeye anaweza kuivunja mihuri yake saba na kukifungua hicho kitabu.”
Shirikisha
Soma Ufunuo 5Ufunuo 5:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na mmojawapo wa wale wazee akaniambia, Usilie; tazama, Simba aliye wa kabila la Yuda, Shina la Daudi, yeye ameshinda apate kukifungua kile kitabu, na ile mihuri yake saba.
Shirikisha
Soma Ufunuo 5