Ufunuo 6:4
Ufunuo 6:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Nami nikatazama na kumbe palikuwapo farasi mwingine hapo, mwekundu. Mpandafarasi wake alikabidhiwa jukumu la kuondoa amani duniani, watu wauane, naye akapewa upanga mkubwa.
Shirikisha
Soma Ufunuo 6Ufunuo 6:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akatoka farasi mwingine, mwekundu sana, na yeye aliyempanda aliruhusiwa kuiondoa amani katika nchi, ili watu wauane, naye akapewa upanga mkubwa.
Shirikisha
Soma Ufunuo 6