Ufunuo 7:10
Ufunuo 7:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
wakilia kwa sauti kuu wakisema, Wokovu una Mungu wetu aketiye katika kiti cha enzi, na Mwana-kondoo.
Shirikisha
Soma Ufunuo 7Ufunuo 7:10 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Nao walikuwa wakipiga kelele kwa sauti kubwa wakisema: “Wokovu una Mungu wetu, yeye aketiye kwenye kiti cha enzi, na Mwana-Kondoo!”
Shirikisha
Soma Ufunuo 7