Ufunuo 8:7
Ufunuo 8:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Malaika wa kwanza akapiga tarumbeta yake. Mchanganyiko wa mvua ya mawe na moto pamoja na damu ukamwagwa juu ya nchi. Theluthi moja ya nchi ikaungua, theluthi moja ya miti ikaungua na majani yote mabichi yakaungua.
Shirikisha
Soma Ufunuo 8Ufunuo 8:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Malaika wa kwanza akapiga baragumu, kukawa mvua ya mawe na moto vilivyochangamana na damu, vikatupwa juu ya nchi; theluthi ya nchi ikateketea, na theluthi ya miti ikateketea, na majani mabichi yote yakateketea.
Shirikisha
Soma Ufunuo 8