Ufunuo 8:8
Ufunuo 8:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha malaika wa pili akapiga tarumbeta yake. Na kitu kama mlima mkubwa unaowaka moto kikatupwa baharini. Theluthi moja ya bahari ikawa damu
Shirikisha
Soma Ufunuo 8Ufunuo 8:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Malaika wa pili akapiga baragumu, na kitu, mfano wa mlima mkubwa uwakao moto, kikatupwa katika bahari; theluthi ya bahari ikawa damu.
Shirikisha
Soma Ufunuo 8