Ufunuo 9:11
Ufunuo 9:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Tena wanaye mfalme anayewatawala, naye ndiye malaika wa kuzimu; jina lake kwa Kiebrania ni Abadoni, na kwa Kigiriki ni Apolioni, yaani Mwangamizi.
Shirikisha
Soma Ufunuo 9Ufunuo 9:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na juu yao wanaye mfalme, naye ni malaika wa kuzimu, jina lake kwa Kiebrania ni Abadoni, na kwa Kigiriki analo jina lake Apolioni.
Shirikisha
Soma Ufunuo 9