Ufunuo 9:5
Ufunuo 9:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakapewa amri kwamba wasiwaue, bali wateswe miezi mitano. Na maumivu yao yalikuwa kama kuumwa na nge, aumapo mwanadamu.
Shirikisha
Soma Ufunuo 9Ufunuo 9:5 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Wakaruhusiwa kuwatesa kwa muda wa miezi mitano, lakini wasiwaue. Uchungu wa kuuma kwao ulikuwa kama ule wa mtu aumwapo na nge.
Shirikisha
Soma Ufunuo 9