Ufunuo 9:6 - Linganisha Matoleo Yote
Ufunuo 9:6 BHN (Biblia Habari Njema)
Muda huo watu watatafuta kifo lakini hawatakipata; watatamani kufa lakini kifo kitawakimbia.
Shirikisha
Ufunuo 9 BHNUfunuo 9:6 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na siku zile wanadamu watatafuta mauti, wala hawataiona kamwe. Nao watatamani kufa, nayo mauti itawakimbia.
Shirikisha
Ufunuo 9 SUVUfunuo 9:6 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Na siku zile wanadamu watatafuta mauti, wala hawataiona kamwe. Nao watatamani kufa, nayo mauti itawakimbia.
Shirikisha
Ufunuo 9 SRUVUfunuo 9:6 NEN (Neno)
Katika siku hizo watu watatafuta kifo lakini hawatakiona, watatamani kufa, lakini kifo kitawakimbia.
Shirikisha
Ufunuo 9 NEN