Waroma 1:16
Waroma 1:16 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Mimi siionei haya Injili ya Kristo kwa maana ni uweza wa Mungu uletao wokovu kwa kila aaminiye, kwanza kwa Myahudi na kwa Myunani pia.
Shirikisha
Soma Waroma 1Waroma 1:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Sioni aibu kutangaza Habari Njema; yenyewe ni nguvu ya Mungu inayowaokoa wote wanaoamini: Wayahudi kwanza na wasio Wayahudi pia.
Shirikisha
Soma Waroma 1Waroma 1:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana siionei haya Injili; kwa sababu ni uweza wa Mungu uuletao wokovu, kwa kila aaminiye, kwa Myahudi kwanza, na kwa Mgiriki pia.
Shirikisha
Soma Waroma 1