Waroma 1:17
Waroma 1:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa maana Habari Njema inaonesha wazi jinsi Mungu anavyowakubali watu kuwa waadilifu; jambo hili hufanyika kwa imani, tangu mwanzo mpaka mwisho; kama ilivyoandikwa: “Mwadilifu kwa imani ataishi.”
Shirikisha
Soma Waroma 1Waroma 1:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana haki ya Mungu inadhihirishwa ndani yake, toka imani hadi imani; kama ilivyoandikwa, Mwenye haki ataishi kwa imani.
Shirikisha
Soma Waroma 1