Waroma 1:18
Waroma 1:18 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ghadhabu ya Mungu imedhihirishwa kutoka mbinguni dhidi ya uasi wote na uovu wa wanadamu ambao huipinga kweli kwa uovu wao
Shirikisha
Soma Waroma 1Waroma 1:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Ghadhabu ya Mungu imedhihirishwa kutoka mbinguni dhidi ya uasi na uovu wote wa binadamu ambao kwa njia zao mbaya wanaupinga ukweli usijulikane.
Shirikisha
Soma Waroma 1