Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

Waroma 11:16 - Linganisha Matoleo Yote

Waroma 11:16 BHN (Biblia Habari Njema)

Ikiwa kipande cha kwanza cha mkate kimewekwa wakfu, mkate wote umewekwa wakfu; mizizi ya mti ikiwa mizuri, na matawi yake huwa mazuri pia.

Shirikisha
Waroma 11 BHN

Waroma 11:16 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Tena malimbuko yakiwa matakatifu, kadhalika na donge lote; na shina likiwa takatifu, matawi nayo kadhalika.

Shirikisha
Waroma 11 SUV

Waroma 11:16 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Tena malimbuko yakiwa matakatifu, kadhalika na donge lote; na shina likiwa takatifu, matawi nayo kadhalika.

Shirikisha
Waroma 11 SRUV

Waroma 11:16 NEN (Neno)

Kama sehemu ya donge la unga uliotolewa kuwa limbuko ni mtakatifu, basi unga wote ni mtakatifu, nalo shina kama ni takatifu, vivyo hivyo na matawi nayo.

Shirikisha
Waroma 11 NEN