Waroma 11:33
Waroma 11:33 Biblia Habari Njema (BHN)
Utajiri, hekima na elimu ya Mungu ni kuu mno! Huruma zake hazichunguziki, na njia zake hazieleweki! Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu
Shirikisha
Soma Waroma 11Waroma 11:33 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jinsi zilivyo kuu utajiri na hekima na maarifa ya Mungu! Hukumu zake hazichunguziki, wala njia zake hazieleweki!
Shirikisha
Soma Waroma 11Waroma 11:33 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Jinsi zilivyo kuu utajiri na hekima na maarifa ya Mungu! Hukumu zake hazichunguziki, wala njia zake hazitafutikani!
Shirikisha
Soma Waroma 11